Kwenye kiendeshi cha kichapishi, fungua kichupo cha Kuu au kichupo cha Chaguo Zaidi.
Katika Uwekaji Kabla Uchapishaji, teua jina la mpangilio lililotumika kuhifadhi mipangilio ya chapisho la kikundi.
Angalia kila mpangilio, badilisha mipangilio kama inavyohitajika na kisha bofya SAWA.
Bofya Chapisha