Chaguo Mahiri Windows PostScript (Wakati Kikamilishi cha Kijitabu Kimesakinishwa)

Chaguo za Waraka:

Vipengele vya Kichapishi:

  • Panga:

    Upangaji Hamishi: Huondoa kila kikundi cha nakala. Unaweza kuteua chaguo hili tu wakati umeteua Uteuzi Otomatiki au Trei Kamilishi kuwa mpangilio wa Trei ya Zao.

  • Bana kwa stepla:

    Teua eneo la stepla.

  • Toboa:

    Teua eneo la shimo linalotobolewa. Huonyeshwa wakati kitengo cha kutoboa kimesakinishwa.

  • Kunja/Taraza Mshono:

    Teua iwapo unataka kukunja au kukunja na kutaraza machapisho.