Kisimamia Waasiliani

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Kisimamia Waasiliani

Ongeza/Hariri/Futa:

Sajili na/au futa waasiliani kwa menyu za Faksi, Tambaza kwenye Barua pepe, na Chan'a kwa Folda/FTP ya Mt'o.

Mara kwa mara:

Sajili waasiliani wanaotumiwa mara kwa mara ili kuwafikia haraka. Pia unaweza kubadilisha mpangilio wa orodha.

Chapisha Waasiliani:

Chapisha anwani yako ya orodha.

Angalia Chaguo:

Badilisha jinsi orodha ya waasiliani inavyoonyeshwa.

Chaguo za Utafutaji:

Badilisha mbinu ya kutafuta waasiliani.