Mara kwa mara

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Faksi > Mara kwa mara

Unaweza kutuma faksi kwa kutumia waasiliani waliosajiliwa wanaotumiwa mara kwa mara, au kwa kutumia historia ya faksi zilizotumwa hivi karibuni.

Teua mpokeaji kutoka kwenye orodha ya upigaji haraka iliyoonyeshwa.

Chagua mpokeaji kutoka kwa historia ya faksi zilizotumwa. Unaweza pia kuongeza mpokeaji kutoka kwenye oorodha ya waasiliani.

Waasiliani wa Mara kwa Mara:

Huonyesha waasiliani uliowasajili kwenye Mipangilio > Kisimamia Waasiliani > Mara kwa mara.