Mipangilio ya Uchapishaji (Mac OS PostScript)

  1. Teua Vipengele vya Kichapishi kutoka katika menyu ya kidukizo, na kisha uteue Output kutoka kwenye Vikundi vya Kipengele.

  2. Chagua Upangaji Hamishi kama mpangilio wa kupanga.

  3. Weka vipengele hivyo vingine inavyohitajika.

  4. Bofya Chapisha.