Unaweza kuchapisha faili za JPEG, PDF, na TIFF kutoka kwa kifaa cha kumbukumbu na uzipige stepla.
Unganisha kifaa cha kumbukumbu kwenye kituo tayarishi cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.
Teua Kifaa cha Kumbukumbu kwenye skrini ya nyumbani.
Chagua aina ya faili na faili unayotaka kuchapisha.
Teua kichupo cha Mahiri, na kisha uteue Kumalizia.
Teua eneo kwenye Bana kwa stepla.
Donoa
.