Kunakili Kwa Kutumia Vikundi Vilivyohifadhiwa

  1. Weka nakala za kwanza.

  2. Teua Nakili kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.

  3. Teua kichupo cha Mipangilio Msingi na kisha uteue Otomatiki au Rangi, Ny'i na Ny'pe.

  4. Teua kichupo cha Mahiri, na kisha uteue Seti za Chapisho.

  5. Teua kikundi ambacho unataka kutumia kutoka kwenye orodha, na kisha uteue Sawa.

    Ukiteua Hariri, unaweza kubadilisha kwa muda mipangilio ya Seti za Uchapishaji.

  6. Weka mipangilio inayofaa ya nakala.

  7. Donoa .