> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kuingiza Karatasi Ndogo kwenye Nakala

Kuingiza Karatasi Ndogo kwenye Nakala

Unaweza kuingiza karatasi ndogo kwenye nakala na kuziondoa.

  1. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua kichupo cha Mahiri, teua Jalada la Ka. Kuingizwa > Karatasi ya Kuingizwa.

  4. Teua Mwisho wa Kazi au Mwisho wa Seti, ili uwezeshe mipangilio kisha ubainishe mipangilio mingine inavyohitajika.

    Iwapo unataka kubainisha ukurasa wa kuingiza karatasi ndogo au kuingiza sura, teua Mwisho wa Ukurasa au Sura, kisha ubainishe maelezo kama vile nambari ya ukurasa, karatasi na kadhalika.

  5. Donoa .