Sanidi usimbaji fiche wa barua pepe na kiambatisho cha cheti cha kidijitali kwenye barua pepe kwa kila kitendaji unachotumia.
Fikia Web Config na uteue kichupo cha Network Security > S/MIME > Basic.
Teua kila kipengee.
Bofya Next.
Ujumbe wa uthibitishaji unaonyeshwa.
Bofya OK.
Kichapishi kimesasishwa.