Wakati kikamilishi kimesakinishwa, menyu iliyo hapa chini huonyeshwa kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Majina ya kipengele na vipengee vya menyu ya mpangilio huenda vikabadilika kulingana na toleo la programu msingi.
Utenganishaji wa Kazi
Teua Washa ili kutoa nakala zilizotofautishwa na kazi.
Lainisha na Stepla
Punguza kutopanga karatasi kwa ulinganifu ili kuboresha kitendo cha kupiga stepla. Hata hivyo, hii inaweza kupunguza kasi ya uchapishaji.
Lainisha na Isio ya stepla
Punguza kutopanga karatasi kwa ulinganifu. Hata hivyo, hii inaweza kupunguza kasi ya uchapishaji.
Lainisha wakati wa Kunja na Taraza
Punguza kutolingana kwa karatasi ili kukunja au kutaraza mshono kila kikundi cha nakala katika mkao sahihi. Hata hivyo, hii inaweza kupunguza kasi ya uchapishaji.
Chaguo hili linaonyeshwa wakati kikamilishi cha kijitabu cha hiari kimesakinishwa.
Menyu hizi zinaonyeshwa tu wakati kikamilishi cha stepla au kikamilishi cha kujitabu kimesakinishwa.
Epuka Kuguzisha Karatasi Iliyokwama na Sehemu Inayosonga
Teremsha chini trei kamilishi ili kuondoa stakabadhi ili isitagusane na stakabadhi zilizoondolewa. Hata hivyo, hii inaweza kupunguza kasi ya uchapishaji.
Badilisha Upeo wa Ugunduzi wa Rundo
Badilisha idadi ya karatasi kamili kwenye trei kamilishi kutoka 4000 hadi 1500.
Menyu hizi zinaonyeshwa tu wakati kikamilishi cha stepla cha P2 kimesakinishwa. Wakati kufuli la paneli limewezeshwa, msimamizi pekee ndiye anaweza kutekeleza mipangilio hii.
Hali Tulivu
Ikiwa sauti za shughuli ya utoaji ni za kiwango cha juu sana unapotoa karatasi, weka hali hii iwe Washa. Hata hivyo, hii inaweza kupunguza kasi ya uchapishaji.
Pia, wakati uzito wa kuchapisha uko juu, kuhamisha zilizopangwa kunatekelezwa, au kuunganisha kunatekelezwa, kichapishi hupanga karatasi katika mstari kiotomataki na huenda isiweze kupunguza kiwango cha kelele wakati wa kutoa kelele.
Wakati mpangilio huu umewezeshwa, usahihi wa upangaji katika mstari wa karatasi iliyotolewa utapungua.
Epuka Kuguzisha Karatasi Iliyokwama na Sehemu Inayosonga
Teremsha chini trei kamilishi ili kuondoa stakabadhi ili isitagusane na stakabadhi zilizoondolewa. Hata hivyo, hii inaweza kupunguza kasi ya uchapishaji.
Badilisha Upeo wa Ugunduzi wa Rundo
Badilisha idadi ya karatasi kamili kwenye trei kamilishi kutoka 4000 hadi 1500.
Marekebisho ya Kuwasilisha Karatasi
Punguza kutopanga karatasi kwa ulinganifu. Unapochapisha kwa uzito wa juu wa chapisho kwa kutumia kikamilishi.
Feni ya Kuondoa Karatasi
Punguza kutopanga karatasi kwa ulinganifu au sababu za kukwama kwa karatasi. Iwapo karatasi haiwezi kutolewa na ukwamaji wa karatasi unaendelea kutokea, unaweza kutatua tatizo kwa kuwezesha mpangilio huu. Tafadhali wasiliana na auni ya Epson au mtoa huduma aliyeidhinishwa na Epson unapobadilisha mpangilio huu.