> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kunakili kwa Kupanua au Kupunguza

Kunakili kwa Kupanua au Kupunguza

Unaweza kunakili nakala asili kwa upanuzi uliobainishwa.

  1. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua kichupo cha Mipangilio Msingi, na kisha uteue Punguza/Ongeza.

  4. Bainisha kiwango cha kupanua au kupunguza.

  5. Donoa .