Chaguo za Menyu za Ukamilishaji

Trei Towe:

Teua trei towe unayotaka kutumia kwa machapisho. Trei towe inaweza kuteuliwa kiotomatiki kulingana na mipangilio mingine ya uchapishaji.

Panga:

Teua jinsi ya kupanga nakala nyingi.

Geuza Mpangilio

Huweka kwenye mpororo machapisho mbadala kwenye mwelekeo wa taswira na mwelekeo wa mandhari. Ili kutumia kipengele hiki, teua Mipangilio ya Kuchapisha kutoka kwenmye menyu ibukizi, na kisha uteue Uteuzi Otomatiki kama mpangilio wa Paper Source. Pili, teua Kukamilisha kutoka kwenye menyu ibukizi, na kisha uteue Uteuzi Otomatiki au Trei ya Kuangalisha Chini kama mpangilio wa Trei Towe. Machapihso yanawekwa kwenye mpororo kwenye Trei Inayoangalia Upande wa Chini.