Chaguo Mahiri Windows PostScript (Wakati Kikamilishi-P2 cha Stepla Kimesakinishwa)

Chaguo za Waraka:

Vipengele vya Kichapishi:

  • Panga:

    Upangaji Hamishi: huondoa kila kikundi cha nakala. Unaweza kuteua chaguo hili tu wakati unateua Uteuzi Otomatiki kama mpangilio wa Trei ya Zao.

  • Bana kwa stepla:

    Teua eneo la stepla.