> Kutumia Hifadhi > Kutumia Faili kwenye Hifadhi > KutuKutuma Faili zilizo kwenye Hifadhi kupitia Barua Pepe

KutuKutuma Faili zilizo kwenye Hifadhi kupitia Barua Pepe

Sanidi seva ya barua pepe kabla ya kutuma.

Kusanidi Seva ya Barua

  1. Teua Hifadhi kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.

  2. Teua kabrasha iliyo na faili unayotaka kutuma kisha uchague Fungua.

  3. Chagua faili.

  4. Teua Tuma/Hifadhi.

  5. Teua Kuhamisha kwenye Barua Pepe.

  6. Bainisha mpokeaji.

  7. Weka mipangilio ya kuhifadhi ikiwa muhimu.

    Chaguo za Menyu kwa Tuma/Hifadhi

  8. Donoa .