Epson inapendekeza utumie karatasi halali ya Epson ili kuhakikisha uchapishaji wa hali ya juu.
Karatasi halali ya Epson haipatikani unapochapisha kwa kiendeshi cha kichapishi cha kimataifa cha Epson.
Upatikanaji wa karatasi unategemea eneo. Kwa maekezo mapya kuhusu karatasi inayopatikana katika eneo lako, wasiliana na usaidizi wa Epson.
Angalia yafuatayo kwa maelezo kuhusu aina za karatasi zinazopatikana kwa uchapishaji wa pande 2.
Wakati unachapisha kwenye karatasi halisi ya Epson kwa ukubwa uliowekwa na mtumiaji, mipangilio ya ubora wa chapa wa Wastani au Normal ndio hupatikana tu. Ijapokuwa baadhi ya viendeshi vya printa hukuruhusu uchague ubora wa juu wa chapa, chapa huchapishwa kwa kutumia Wastani au Normal.
Unapochapisha kwenye karatasi inayozidi 483 mm kwa urefu kamaukubwa uliofafanuliwa wa mtumiaji, inachapishwa kwa kutumia ubora wastani wa chapisho bila kujali mipangilio kwenye aina ya karatasi na jina la karatasi. Pia, kichapishi hupunguza kasi ya uchapishaji kwa baadhi ya aina ya karatasi kama vile karatasi tupu.

|
Jina la Midia |
Ukubwa |
Uwezo wa Kupakia (Laha) |
|
|---|---|---|---|
|
Trei ya Karatasi |
Mkanda 1 hadi 4 wa Karatasi |
||
|
Epson Business Paper |
A4 |
150 |
500 |
|
Epson Bright White Ink Jet Paper |
A4 |
150 |
500 |

|
Jina la Midia |
Ukubwa |
Uwezo wa Kupakia (Laha) |
|
|---|---|---|---|
|
Trei ya Karatasi |
Mkanda 1 hadi 4 wa Karatasi |
||
|
Epson Matte Paper-Heavyweight |
A3+, A3, A4 |
20 |
- |
|
Epson Archival Matte Paper |
A3+, A3, A4 |
20 |
- |
|
Epson Double-Sided Matte Paper |
A3+, A3, A4 |
20 |
- |
|
Epson Photo Quality Ink Jet Paper |
A3+, A3 |
50 |
- |
|
A4 |
100 |
- |
|
|
Epson Double-sided Photo Quality Ink Jet Paper |
A4 |
100 |
- |