Kuchapisha Kazi Iliyohifadhiwa

  1. Donoa Chapisha Kutoka Kumb'u Ndani kwenye paneli ya udhibiti ya kichapishi.

  2. Teua kazi unayotaka kuchapisha.

    Teua Jina la Mtumiaji kutoka kwenye orodha, na kisha uteue kazi. Iwapo utaombwa nenosiri, ingiza moja uliyoweka kiendeshi cha kichapishi.

  3. Donoa ili kuanza kuchapisha.

    Kumbuka:

    Donoa Futa ili kufuta kazi.