Unaweza kukagua historia ya kazi za faksi zilizotumwa au kupokewa, kama vile tarehe, saa na matokeo ya kila kazi.
Donoa Kazi/Hali kwenye skrini ya nyumbani.
Chagua Kumbukumbu katika kichupo cha Hali ya Kazi.
Donoa
upande wa kulia, na kisha uteue Tuma au Pokea.
Kumbukumbu ya kazi za faksi zilizotumwa au kupokewa inaonyeshwa katika mpangilio wa kinyume wa mfuatano wa matukio. Donoa kazi unayotaka kukagua ili kuonyesha maelezo.
Pia unaweza kuangalia historia ya faksi kwa kuchapisha Kumbukumbu ya Faksi kwa kuteu Faksi >
(Menyu) > Kumbukumbu ya Faksi.