Vipengee vya Mpangilio wa Mafikio

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

Mipangilio ya Kawaida

Name

Ingiza jina linaloonyeshwa kwenye waasiliani katika vibambo 30 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Index Word

Ingiza maneo ya kutafuita katika vibambo 30 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Type

Teua aina ya anwani unayotaka kusajili.

Assign to Frequent Use

Teua anwani iliyosajiliwa kama anwani inayotumika kila mara.

Unapoweka anwani inayotumika mara kwa mara, huonyeshwa katika sehemu ya juu ya skrini ya faksi au kitambazaji, na unaweza kubainisha ufikio bila kuonyesha anwani.

Fax

Fax Number

Ingiza kati ya vibambo 1 hadi 64 kwa kutumia 0–9 - * # na nafasi.

Fax Speed

Teua kasi ya mawasiliano kwa mafikio.

Subaddress (SUB/SEP)

Weka anwani ndogo ambayo huambatana wakati faksi imetumwa. Ingiza ndani ya vibambo 20 au chini ukitumia 0–9, *, # au nafasi. Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Password (SID/PWD)

Weka nenosiri kwa anwani ndogo. Ingiza ndani ya vibambo 20 au chini ukitumia 0–9, *, # au nafasi. Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Email

Email Address

Ingiza kati ya vibambo 1 na 255 ukitumia A–Z a–z 0–9 ! # $ % & ' * + - . / = ? ^ _ { | } ~ @.

Network Folder (SMB)

Save to

\\“Folder path”

Weka mahali ambapo kabarasha lengwa ipo kati ya vibambo 1 na 253 kwenye Msimbosare (UTF-8), bila kujumuisha “\\”.

User Name

Ingiza jina la mtumiaji ili kufikia folda ya mtandao katika vibambo 30 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Hata hivyo, epuka kutumia vibambo vya udhibiti (0x00–0x1F, 0x7F).

Password

Ingiza nenosiri ili kufikia folda ya mtandao katika vibambo 20 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Hata hivyo, epuka kutumia vibambo vya udhibiti (0x00–0x1F, 0x7F).

FTP

Secure Connection

Teua FTP au FTPS kulingana na itifaki ya kuhamisha faili ambayo seva ya FTP hutumia. Teua FTPS ili kuruhusu kichapishi kuwasiliana kwa hatua za usalama.

Save to

Ingiza jina la seva kati ya vibambo 1 na 253 katika ASCII (0x20–0x7E), bila kujumuisha“ftp://” au “ftps://”.

User Name

Ingiza jina la mtumiaji ili kufikia seva ya FTP katika vibambo 30 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Hata hivyo, epuka kutumia vibambo vya udhibiti (0x00–0x1F, 0x7F). Iwapo seva inaruhusu muunganisho usiojulikana, ingiza jina kana Lisilojulikana na FTP. Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Password

Ingiza nenosiri ili kufikia seva ya FTP katika vibambo 20 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Hata hivyo, epuka kutumia vibambo vya udhibiti (0x00–0x1F, 0x7F). Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Connection Mode

Teua modi ya muunganisho kutoka kwenye menyu. Iwapo programu dhibiti imewekwa kati ya kichapishi na seva ya FTP, teua Passive Mode.

Port Number

Ingiza nambari ya kituo cha seva ya FTP kati ya 1 na 65535.

Certificate Validation

Cheti cha seva ya FTP huidhinishwa wakati hii imewezeshwa. Hii hupatikana wakati FTPS imeteuliwa kwa Secure Connection.

Ili kusanidi, unahitaji kuleta CA Certificate kwenye kichapishi.