Huchapisha katika pande zote za karatasi.
Kujalidi kwa Katikati: tumia mbinu hii unapochapisha idadi kubwa ya kurasa ambazo zinaweza kupangwa na kukunjwa kwa urahisi kuwa nusu.
Kujalidi kwa Upande. Tumia mbinu hii unapochapisha laha moja (kurasa nne) kwa wakati mmoja, kukunja kila moja kuwa nusu kisha kuziweka pamoja kwa juzuu moja.
Teua nafasi ya uunganishaji kwa karatasi towe.