Kuondoa Uchafu Unaotokana na Kutoboa Mashimo kwenye Kikamilishi cha Stepla
Wakati wa kuondoa uchafu unaotokana na kutoboa mashimo ukifika, ujumbe huonyeshwa kwenye skrini ya LCD. Fuata maagizo yaliyo kwenye skrini ili uondoe uchafu unaotokana na kutoboa mashimo.