
|
|
Paneli Dhibiti |
Hukuruhusu kufanya mipangilio na operesheni za utendaji kwenye kichapishi. Pia huonyesha hali ya kichapishi. |
|
|
Kifuniko cha ADF (Sehemu ya Kuingiza Waraka Kiotomatiki) (F) |
Fungua wakati unaondoa nakala za kwanza zilizokwamba katika ADF. |
|
|
Mwongozo wa ukingo za ADF |
Huingiza nakala za kwanza moja kwa moja hadi ndani ya printa. Telezesha kwenye kingo za nakala asili. |
|
|
Trei ya ingizo ADF |
Huingiza nakala za kwanza kiotomatiki. |
|
|
Trei ya towe ADF |
Hushukilia nakala za kwanza zinazotoka kutolewa na ADF. |
|
|
Kizibo |
Huzuia karatasi asili zilizokataliwa kutoanguka kutoka kwenye trei towe ya ADF. |
|
|
Trei ya kuangalia chini (K) |
Hushikilia karatasi zinazotolewa. |
|
|
Mwongozo wa ukingo |
Huingiza karatasi moja kwa moja hadi ndani ya printa. Telezesha kwenye kingo za karatasi. |
|
|
Trei ya karatasi ya (B) |
Huweka karatasi. Unaweza kupakia aina zote za karatasi (karatasi nzito na bahasha) zinazoweza kutumiwa kwenye kichapishi hiki. |
|
|
Kifuniko (E) |
Fungua wakati unaondoa karatasi iliyokwama. |
|
|
Kaseti ya karatasi 1, 2, 3, 4 (C1, C2, C3, C4) |
Huweka karatasi. |
|
|
Kifuniko (J) |
Fungua wakati unaondoa karatasi iliyokwama. |
|
|
Kifuniko cha mbele (L) |
Fungua wakati unaodoa karatasi ambayo imekwama au kubadilisha kikasha cha ukarabati. |
|
|
Kifuniko cha kibweta cha wino (A) |
Fungua wakati unabadilisha kibweta cha wino. |

|
|
Jalada la waraka |
Huzuia mwangaza wa nje wakati wa utambazaji. |
|
|
Glasi ya kitambazaji |
Weka nakala za kwanza. Unaweza kuweka nakala halisi ambazo haiingizwi kutoka kwenye ADF kama vile bahasha au vitabu vizito. |
|
|
Kituo tayarishi cha USB cha kiolesura cha nje |
Huunganisha vifaa vya kumbukumbu. |
|
|
Ufito wa kusafishia |
Hii ni sehemu ya huduma ya kusafisha ndani ya kichapishi. |
|
|
Kibeba nyaraka |
Hubeba miongozo. Unaweza pia kukiambatisha katika sehemu ya nyuma. |
|
|
Kifuniko cha kisanduku cha matengenezo (H) |
Fungua wakati unabadilisha kisanduku cha ukarabati. Unahitaji kufungua kifuniko cha mbele (L) kwanza. Kisanduku cha matengenezo ni chombo kinachokusanya kiwango kidogo zaidi cha wino wa ziada wakati wa usafishaji na uchapishaji. |
|
|
Trei ya kuangalia juu (G) |
Hushikilia karatasi zinazotolewa. |
|
|
Kitengo cha urudufishaji (D1) |
Fungua wakati unaondoa karatasi iliyokwama. |
|
|
Kibeba kitambaa cha kusafisha |
Hubeba kitambaa cha kusafisha. |
|
|
Kitambaa cha kusafisha |
Tumia ili kusafisha eneo la glasi la kitengo cha kitambazaji na ADF. |