Unaweza kufuta cheti kilicholetwa wakati cheti hicho muda walke umekwisha au wakati muunganisho uliosimbwa fiche si muhimu tena.
Ukipata cheti ukitumia CSR iliyoundwa kutoka kwa Web Config, huwezi kuleta cheti ambacho kimefutwa tena. Katika hali hii, unda CSR na upate cheti tena.
Fikia Web Config, kisha uteue kichupo cha Network Security.
Fanya moja kati ya zifuatazo.
Bofya Delete kwa CA-signed Certificate au Client Certificate.
Thibitisha kwamba unataka kufuta cheti katika ujumbe ulioonyeshwa.