Pakua kiendeshi cha kichapishi kutoka tovuti ya Auni ya Epson, na kisha kisakinishe.
https://www.epson.eu/support (Ulaya)
https://support.epson.net/ (nje ya Ulaya)
Unahitaji anwani ya IP ya kichapishi wakati wa kusakinisha kiendeshi cha kichapishi.
Teua ikoni ya mtandao kwenye skrini ya nyumbani ya kichapishi, na kisha uteue mbinu ya muunganisho amilifu ili kuthibitisha anwani ya IP ya kichapishi.