Wezesha hii ili kuhifadhi faili kwenye folda ya mtandao unaoshirikiwa kwenye kichapishaji.
Fikia Web Config na uteue kihupo cha Network > MS Network.
Wezesha Use Microsoft network sharing.
Weka kila kipengee iwapo kunatakikana.
Bofya Next.
Thibitisha mipangilio, na kisha ubofye OK.