Kutumia Kichapishi cha Mtandao kutoka Kifaa Maizi

Unaweza kuunganisha kifaa maizi kwenye kichapishi ukitumia moja kati ya mbinu zifuatazo.

Kuunganisha kupitia kipanga njia pasiwaya

Unganisha kifaa maizi kwenye mtandao ambao kichapishi kimeunganishwa.

Angalia yafuatayo kwa maelezo zaidi.

Kuweka Mipangilio ya Kuunganishwa kwenye Kifaa Maizi

Inaunganisha kupitia Wi-Fi Direct

Unganisha kifaa maizi kwenye kichapishi moja kwa moja bila kipanga njia pasiwaya.

Angalia yafuatayo kwa maelezo zaidi.

Kuunganisha Moja kwa Moja kwenye Kichapishi (Wi-Fi Direct)