Chaguo za Menyu za Muundo

Kurasa kwa kila Laha:

Teua idadi ya kurasa za kuchapishwa kwenye laha moja.

Mwelekeo wa Muundo:

Bainisha mpangilio ambao kurasa zinafaa kuchapishwa.

Mpaka:

Huchapisha mpaka kwenye kurasa.

Pande Mbili:

Hukuruhusu kutekeleza uchapishaji wa pande 2.

Mwelekeo wa kugeuza ukurasa:

Huzungusha kurasa nyuzi 180 kabla ya kuchapisha.

Geuza kimlalo:

Hugeuza picha ili iweze kuchapisha kama vile ingeonekana kwenye kioo.