Basic

Vipengele

Ufafanuzi

Top Offset(-30.0-30.0mm)

Huweka eneo la wima la karatasi ambalo uchapishaji huanza.

Left Offset(-30.0-30.0mm)

Huweka eneo la kimlalo la karatasi ambalo uchapishaji huanza.

Top Offset in Back(-30.0-30.0mm)

Huweka eneo la wima la karatasi ambalo uchapishaji wa upande wa nyuma wa karatasi huanza katika uchapishaji rudufu.

Left Offset in Back(-30.0-30.0mm)

Huweka eneo la kimlalo la karatasi ambalo uchapishaji wa upande wa nyuma wa karatasi huanza katika uchapishaji rudufu.

Check Paper Width

Weka iwapo utakagua upana wa karatasi unapochapisha.

Skip Blank Page

Iwapo kuna ukurasa mtupu kwenye data ya kuchapisha, weka kutochapisha ukurasa mtupu.