Kichapishi hutumia kituo kifuatacho. Vituo hivi vinafaa kuruhusiwa kupatikana na msimamizi wa mtandao iwezekanavyo.
|
Matumizi |
Ufikio (Seva) |
Itifaki |
Nambari ya Kituo |
|---|---|---|---|
|
Kutuma faili (Wakati tambaza kwenye folda ya mtandao inatumika kutoka kwenye kichapishi) |
Seva ya FTP/FTPS |
FTP/FTPS (TCP) |
20 |
|
21 |
|||
|
Seva ya faili |
SMB (TCP) |
445 |
|
|
NetBIOS (UDP) |
137 |
||
|
138 |
|||
|
NetBIOS (TCP) |
139 |
||
|
Seva ya WebDAV |
HTTP (TCP) ya Itifaki |
80 |
|
|
HTTPS (TCP) ya Itifaki |
443 |
||
|
Kutuma barua pepe (Wakati tambaza kwenye barua pepe inatumika kutoka kwenye kichapishi) |
Seva ya SMTP |
SMTP (TCP) |
25 |
|
SMTP SSL/TLS (TCP) |
465 |
||
|
SMTP STARTTLS (TCP) |
587 |
||
|
POP kabla ya Muunganisho wa SMTP (Wakati tambaza kwenye barua pepe inatumika kutoka kwenye kichapishi) |
Seva ya POP |
POP3 (TCP) |
110 |
|
Wakati Epson Connect inatumika |
Seva ya Epson Connect |
HTTPS |
443 |
|
XMPP |
5222 |
||
|
Wakati Huduma za Rimoti ya Epson zinatumika |
Seva ya Huduma za Rimoti ya Epson |
HTTPS (TCP) ya Itifaki |
443 |
|
MQTT (TCP) ya Itifaki |
443 |
||
|
Kukusanya maelezo ya mtumiaji (Tumia waasiliani walio kwenye kichapishi) |
Seva ya LDAP |
LDAP (TCP) |
389 |
|
LDAP SSL/TLS (TCP) |
636 |
||
|
LDAP STARTTLS (TCP) |
389 |
||
|
Uidhinishaji wa mtumiaji wakati wa kutuma barua pepe (Unapoamilisha Epson Open Platform) Uidhinishaji wa mtumiaji wakati wa kukusanya maelezo ya mtumiaji (Unapotumia waasiliani kutoka kwenye kichapishi) Uidhinishaji wa mtumiaji unapotumia folda ya kutambaza kwenye mtandao (SMB) kutoka kwenye kichapishi |
Seva ya KDC |
Kerberos |
88 |
|
WSD ya Udhibiti |
Komptyuta ya mteja |
WSD (TCP) |
5357 |
|
Tafuta kompyuta wakati utambazaji wa kusukuma kutoka Document Capture Pro |
Komptyuta ya mteja |
Ugunduzi wa Mtandao wa Utambazaji wa Kusukuma |
2968 |
|
Matumizi |
Ufikio (Seva) |
Itifaki |
Nambari ya Kituo |
|---|---|---|---|
|
Kutuma faili (Wakati uchapishaji wa FTP unatumika kutoka kwenye kichapishi) |
Kichapishi |
FTP (TCP) |
20 |
|
21 |
|||
|
Gundua kichapishi kutoka kwenye mafikio kama vile EpsonNet Config, kiendfeshi cha kichapishi, na kiendeshi cha kitambazaji. |
Kichapishi |
ENPC (UDP) |
3289 |
|
Kusanya na usanidi maelezo ya MIB kutoka kwenye programu kama vile EpsonNet Config, kiendeshi cha kichapishi, na kiendeshi cha kitambazaji. |
Kichapishi |
SNMP (UDP) |
161 |
|
Kusambaza data ya LPR |
Kichapishi |
LPR (TCP) |
515 |
|
Kusambaza data ya RAW |
Kichapishi |
RAW (Port 9100) (TCP) |
9100 |
|
Kusambaza data ya AirPrint (uchapishaji wa IPP/IPPS) |
Kichapishi |
IPP/IPPS (TCP) |
631 |
|
Kutafuta kichapishi cha WSD |
Kichapishi |
WS-Discovery (UDP) |
3702 |
|
Kusambaza data ya utambazaji kutoka Document Capture Pro |
Kichapishi |
Utambazaji wa Mtandao (TCP) |
1865 |
|
Kukusanya maelerzo ya kazi wakati wa utambazaji wa kusukuma kutoka Document Capture Pro |
Kichapishi |
Utambazaji wa Kusukuma wa Mtandao |
2968 |
|
Web Config |
Kichapishi |
HTTP (TCP) |
80 |
|
HTTPS (TCP) |
443 |
||
|
Kusambaza Data ya FaxOut |
Kichapishi |
IPP FaxOut (TCP) |
631 |
|
PC-FAX |
Kichapishi |
HTTP (TCP) |
80 |
|
HTTPS (TCP) |
443 |