> TumiKutumia Vipengee vya Hiari > Ubao wa faksi (Super G3/G3 Multi Fax Board) > Kusajili Mpokeaji kwenye Orodha wa Waasiliani (Wakati Bodi za Hiari za Faksi Zimesakinishwa)

Kusajili Mpokeaji kwenye Orodha wa Waasiliani (Wakati Bodi za Hiari za Faksi Zimesakinishwa)

Unaposajili mpokeaji kwenye orodha ya waasiliani, unaweza pia kuongeza mpangilio wa laini.

  1. Fikia Web Config, bofya kichupo cha Scan/Copy au kichupo cha Fax, kisha ubofye Contacts.

  2. Teua idadi unayotaka kusajili, na kisha ubofye Edit.

  3. Ingiza Name na Index Word.

  4. Teua Fax kama chaguo la Type.

    Kumbuka:

    Huwezi kubadilisha chaguo la Type baada ya kukamilisha usajili. Iwapo unataka kubadilisha aina, futa ufikio na usajili tena.

  5. Chagua laini kwenye Select Line, kisha ubofye Apply.

    Kumbuka kwamba Select Line imewekwa kuwa G3-Auto kama chaguo-msingi.

Unaweza pia kuongeza mpokeaji kutoka kwenye oorodha ya waasiliani.