|
Vipengele |
Mipangilio na Ufafanuzi |
|---|---|
|
Use LDAP Server |
Teua Use au Do Not Use. |
|
LDAP Server Address |
Ingiza anwani ya seva ya LDAP. Ingiza vibambo kati ya 1 na 255 vya ama umbizo la IPv4, IPv6 au FQDN. Kwa umbizo la FQDN, unaweza kutumia vibambo vya nambari na abjadi katika ASCII (0x20–0x7E) na “- ” isipokuwa mwanzoni na mwishoni mwa anwani. |
|
LDAP server Port Number |
Ingiza nambari ya kiuto cha seva cha LDAP kati ya 1 na 65535. |
|
Secure Connection |
Bainisha mbinu ya uhalalishaji wakati kichapishi kinafikia seva ya LDAP. |
|
Certificate Validation |
Hii ikiwezeshwa, cheti cha seva ya LDAP kimeidhinishwa. Tunapendekeza hili liwekwe kuwa Enable. Ili kusanidi, CA Certificate kinahitaji kuletwa kwenye kichapishi. |
|
Search Timeout (sec) |
Weka urefu wa muda wa kutafuta kabla ya muda wa kukwisha kutokea kati ya 5 na 300. |
|
Authentication Method |
Weka moja kati ya mbinu zifuatazo. Ukiteua Kerberos Authentication, teua Kerberos Settings ili kuweka mipangilio ya Kerberos. Ili kutekeleza Kerberos Authentication, mazingira yafuatayo yanahitajika.
|
|
Kerberos Realm to be Used |
Iwapo utateua Kerberos Authentication kwa Authentication Method, teua aina ya Kerberos unayotaka kutumia. |
|
Administrator DN / User Name |
Ingiza jina la mtumiaji kwa seva ya LDAP katika vibambo 128 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Huwezi kutumia vibambo vya kudhibiti kama vile 0x00–0x1F na 0x7F. Mpangilio huu hautumiki wakati Anonymous Authentication umeteuliwa kuwa Authentication Method. Iwapo hutabainisha hili, iache wazi. |
|
Password |
Ingiza nenosiri kwa seva ya LDAP katika vibambo 128 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Huwezi kutumia vibambo vya kudhibiti kama vile 0x00–0x1F na 0x7F. Mpangilio huu hautumiki wakati Anonymous Authentication umeteuliwa kuwa Authentication Method. Iwapo hutabainisha hili, iache wazi. |