Kutuma Faksi baada ya Kuangalia Taswira Iliyotambazwa

Unaweza kuhakiki picha iliyotambazwa kwenye skrini ya LCD kabla ya kutuma faksi. (Faksi za rangi moja pekee)

  1. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Faksi kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Bainisha mpokeaji.

    Kuteua Wapokeaji

    Angalia yafuatayo kwa maelezo kuhusu kuongeza faksi za hiari kwenye kichapishi.

    Kutuma Faksi Ukitumia Kichapishi chenye Bodi za Faksi za Hiari

  4. Teua kichupo cha Mipangilio ya Faksi, na kisha uunde mipangilio kama inavyohitajika.

    Mipangilio ya Faksi

  5. Donoa kwenye skrini ya juu ya faksi ili kutambaza, angalia taswira ya waraka uliotambazwa.

  6. Teua Anza Kutuma. Vinginevyo, teua Ghairi

    - : Husogeza skrini katika mwelekeo wa vishale.

    - : Hupunguza au kuongeza.

    - : Husongeza kwa ukurasa wa awali au unaofuata.

    Kumbuka:
    • Wakati Tuma Moja kwa Moja imewezeshwa, huwezi kuhakiki.

    • Wakati skrini ya kuhakiki isipoguzwa kwa muda uliowekwa kwenye Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kutuma > Muda wa Uonyesho wa Kuhakiki Faksi, faksi hutmwa kiotomatiki.

    • Ubora wa picha wa faksi iliyotumwa huenda ukawa tofauti na ulichohakiki kulingana na uwezo wa mashine ya mpokeaji.