
|
|
Hukurudisha kwenye skrini ya awali. |
|
|
|
Hubadili orodha ya mipangilio kutumia vichupo. Kichupo cha Mipangilio Msingi huonyesha vipengee vinavyotumika mara kwa mara. Kichupo Mahiri huonyesha vipengee vingine unavyoweza kuweka kama muhimu. |
|
|
|
Huonyesha orodha ya vipengee vya mpangilio. Wakati Vipengee vya rangi ya kijivu havipatikani. Teua kipengee ili kukagua mbona hakipatikani. Iwapo tatizo lolote litatokea, |
|
|
|
Huanza operesheni kwa kutumia mipangilio ya sasa. Vipengee vinatofautiana kulingana na menyu. |
|
|
Zilizowekwa Kabla |
Huonyesha orodha ya uwekaji awali. Unaweza kusajili mpangilio wa sasa kama uwekaji awali au upakie uwekaji awali uliosajiliwa. |
|
|
Nakala |
Huonyesha kipadi kwenye skrini na kukuruhusu kuweka idadi ya nakala. |
|
|
Weka upya |
Donoa ili kukatisha mabadiliko uliyofanya na kurudi kwenye mipangilio asili. |
|
|
Hakiki |
Huonyesha onyesho la ukaguzi la taswira kabla ya kuchapisha, kutambaza au kutuma faksi. |
|
|
|
Huanza kuchapisha, kunakili, kutambaza au kutuma faksi. |
|