Unaweza kuweka nenosiri la msimamizi kwa kutumia Web Config.
Wakati sera ya nenosiri inapatikana, ingiza nenosiri linalofikia mahitaji.
Unaweza kuweka mipangilio ya sera ya nenosiri kwa kuteua kichupo cha Product Security > Password Policy.
Fikia Web Config na uteue kihupo cha Product Security > Change Administrator Password.
Ingiza nenosiri kwenye New Password na Confirm New Password.
Iwapo ungependa kubadilisha nenosiri hadi mpya, ingiza nenosiri la sasa.
Teua OK.
Ili kuweka au kubadilisha vipengee vya menyu vilivyofungwa, bofya Log in, kisha uingize nenosiri la msimamizi.
Ili kufuta nenosiri la msimamizi, bofya kichupo cha Product Security > Delete Administrator Password, kisha uingize nenosiri la msimamizi.