Unaweza kuchapisha faili za JPEG, PDF, na TIFF kutoka kwenye kifaa cha kumbukumbu na kuzipiga stepla au kuongeza mashimo yaliyotobolewa.

Rekebisha data ili isichapishwe katika sehemu ya kutoboa. Ikiwa utatoboa sehemu ya kuchapisha, huenda ikasababisha shimo kutotoboka au karatasi kukwama.
Unganisha kifaa cha kumbukumbu kwenye kituo tayarishi cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.
Teua Kifaa cha Kumbukumbu kwenye skrini ya nyumbani.
Chagua aina ya faili na faili unayotaka kuchapisha.
Teua kichupo cha Mahiri, na kisha uteue Kumalizia.
Teua eneo kwenye Bana kwa stepla au Toboa.
Donoa
.