Donoa Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.
Donoa Kisimamia Waasiliani > Mara kwa mara.
Teua aina ya, wasiliani unayetaka kusajili.
Donoa Hariri.
Teua waasiliani unaotaka kuwasajili, na kisha udonoe Sawa. Ili kukatisha uteuzi, idonoe tena.
Donoa Funga.