> Kukarabati Kichapishi > Kusakinisha au Kuondoa Programu Kando > Kuongeza Kichapishi (kwa Mac OS Tu)

Kuongeza Kichapishi (kwa Mac OS Tu)

  1. Teua Mapendeleo ya Mfumo kutoka kwenye menyu ya Apple > Vichapishi na Vitambazaji (au Chapisho na Tambazo, Chapisho na Faksi).

  2. Bofya +, na kisha uteue Ongeza Kichapishi na Kitambazaji Kingine.

  3. Teua kichapishi chako, na kisha uteue kichapishi chako kutoka kwenye Matumizi.

  4. Bofya Ongeza.

    Kumbuka:
    • Iwapo kichapishi hakijaorodheshwa, thibitisha kuwa kimeunganishwa sahihi kwenye kompyuta na kuwa kichapishi kimewashwa.

    • Kwa muunganisho wa USB, IP, au Bonjour, weka kitengo cha kaseti ya karatasi cha hiari kikuli baada ya kuongeza kichapishi.