Haiwezi Kuhifadhi Data kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Sababu zifuatazo zinaweza kuzingatiwa.

MMpangilio wa kuhifadhi kwenye kifaa cha kumbukumbu haujawekwa.

Suluhisho

Teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea kwenye skrini ya nyumbani, kisha uteue Mipangilio ya Hifadhi/Sambaza > Hifadhi kwenye Kumbukumbu ya Unda Folda ili Kuhifadhi. Huwezi kutumia kumbukumbu ya nje isipokuwa uweke mpangilio huu.

Kifaa cha kumbukumbu kimelindwa dhidi ya kuandikwa.

Suluhisho

Leza ulinzi wa kuandika kwenye kifaa cha kumbukumbu.

Hakuna nafasi ya kutosha kwenye kifaa cha kumbukumbu.

Suluhisho

Futa data isiyo muhimu au uingize kifaa kingine cha kumbukumbu.