Mpokeaji

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Faksi > Mpokeaji

Waasiliani

Ikoni ifuatayo inaonyesha orodha ya waasiliani.

Huonyesha orodha ya waasiliani waliosajiliwa kwenye mpangilio wa kialfabeti ili uweze kuteua mwasiliani kama mpokeaji kutoka kwenye orodha.

Ili kutafuta mpokeaji kutoka kwenye orodha ya waasiliani, teua .

Teua mpokeaji kutoka kwenye orodha ya upigaji haraka iliyoonyeshwa.

Chagua mpokeaji kutoka kwa historia ya faksi zilizotumwa. Unaweza pia kuongeza mpokeaji kutoka kwenye oorodha ya waasiliani.

Ongeza Mpya

Unaweza kusajili mpokeaji mpya au kikundi kwenye orodha ya waasiliani.