Eneo la Kuchapishika kwa Bahasha

Ubora wa uchapishaji unaweza kupungua katika sehemu zenye rangi kwa sababu ya mfumo wa kichapishi.

A

3.0 mm (0.12 in.)

B

3.0 mm (0.12 in.)

C

5.0 mm (0.20 in.)

* Uelekeo wa kuingiza karatasi.