Suluhisho
Funga programu zozote zisizo muhimu kwenye kompyuta au kifaa chako maizi.
Suluhisho
Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani, teua Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Ki'bele cha Kasi ya Uc'pishaji, kisha uteue Washa.
Suluhisho
Lemaza Modi Tulivu. Kasi ya kuchapisha hupungua wakati kichapishi kikiendeshwa katika Modi Tulivu.
Teua
kwenye skrini ya nyumbani kisha uteue Zima.
Wakati kihitimishi kiunganishi-P2 kimesakinishwa na uunganishaji umetekelezwa, kasi ya kuchapisha haibadiliki hata kama Modi Tulivu imelemazwa.
Suluhisho
Kwa uchapishaji wa pande 2, upande mmoja wa karatasi unachapishwa na kukaushwa, na kisha upande mwingine unachapishwa. Kwa sababu muda wa kukausha unatofautiana kulingana na mazingira, kama vile hali ya joto au unyevu, au data ya kuchapisha, kasi ya uchapishaji inaweza kuwa polepole.
Kulingana na data na mazingira ya uchapishaji, kichapishi huchukua muda kuchakata kazi za uchapishaji, au hupunguza kasi ya uchapishaji ili kuimarisha ubora wa chapisho.