Unaweza kuweka muda wa kubadilika hadi hali ya uokoaji nishati au kuzima nishati wakati paneli dhibiti ya kichapishi hakitumiki kwa kipindi fulani cha wakati. Weka muda kulingana na mazingira yako ya matumizi.
Fikia Web Config na uteue kihupo cha Device Management > Power Saving.
Weka vipengee vifuatavyo inavyohitajika.
Unaweza pia kuweka mipangilio kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio Msingi > Kipima saa cha Kulala
Unaweza pia kuweka mipangilio kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio Msingi > Kipima saa cha Kuzima Nishati au Mip'ilio ya Kuzima
Unaweza pia kuweka mipangilio kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio Msingi > Mip'ilio ya Kuzima > Zima ikiwa Imetenganishwa
Bofya OK.