Kupokea Faksi kwa Uchaguzi (Itisha Hati)

Unaweza kupokea faksi iliyohifadhiwa kwenye mashine nyingine ya faksi kwa kudayo nambari ya faksi. Tumia kipengele hiki kupokea hati kutoka kwa huduma ya maelezo ya faksi.

Kumbuka:
  • Iwapo huduma ya maelezo ya faksi ina kipengele cha mwongozo wa sikizi unachohitaji kufuata ili upokee waraka, huwezi kukitumia kipengele hiki.

  • Ili upokee hati kutoka kwa huduma ya maelezo ya faksi inayotumia mwongozo wa sauti, dayo nambari ya faksi ukitumia kipengele cha Kw. Kiopoo au simu iliyounganishwa, na utumie simu na kichapishi ukifuata mwongozo wa sauti.

  1. Teua Faksi kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Donoa (Menyu).

  3. Teua Faksi Iliyoenezwa.

  4. Donoa kikasha cha Itisha Hati ili kuweka hii kwa Washa.

  5. Donoa Funga, na kisha udonoe Funga tena.

  6. Ingiza nambari ya faksi.

    Kumbuka:

    Iwapo huwezi kuingiza nambari ya faksi kikuli, Vikwazo vya Kupiga Moja kwa moja kwenye Mipangilio ya Usalama imewekwa kwa Washa. Teua wapokeaji wa faksi kutoka kwenye orodha ya waasiliani au historia ya faksi iliyotumwa.

  7. Donoa .