Unaweza kunakili nakala asili anuwai kwenye laha moja la karatasi.

Weka nakala zote asili zikiwa zinaangalia juu katika ADF.
Ziweke katika mwelekeo ulioonyeshwa kwenye mfano.


Iwapo unataka kunakili nakala asili ambazo haziauniwi na ADF, tumia glasi ya kitambazaji.
Pia unaweza kuweka nakala asili kwenye glasi ya kitambazaji.
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Teua kichupo cha Mipangilio Msingi, teua Kurasa Nyingi, kisha uteua 2-juu au 4-juu.
Bainisha mpangilio wa muundo na mwelekeo asili.
Donoa
.