Chaguo za Menyu kwa Ulinganishaji wa Rangi

ColorSync/Kwenye Kichapishi:

Teua mbinu ya kurekebisha rangi. Chaguo hizi hurekebisha rangi kati ya kichapishi na onyesho la kompyuta ili kupunguza utofauti kwenye rangi.