Kuhifadhi Picha Zilizotambazwa Huchukua Muda Mrefu

InachukuaInachukua muda mrefu kwa ubainifu wa jina kujibu “Jina la Kikoa” na “Anwani ya IP”.

Suluhisho

Angalia vigezo vifuatavyo.

  • Hakikisha mpangilio wa DNS ni sahihi.

  • Hakikisha kila mpangilio wa DNS ni sahihi unapokagua Web Config.

  • Hakikisha jina la kikoa cha DNS ni sahihi.