Uendeshaji unaweza kutofautiana kulingana na kifaa.
Unganisha kichapishi chako kwenye kifaa chako maizi ukitumia Wi-Fi Direct.
Ikiwa Epson iPrint haijasakinishwa, isakinishe.
Anzisha Epson iPrint.
Donoa Print Documents kwenye skrini ya nyumbani.
Donoa mahali pa waraka unapiotaka kuchapisha.
Teua waraka kisha udonoe Next.
Donoa Print.