> Kuchapisha > Kuchapisha Nyaraka > Kuchapisha Nyaraka kutoka Vifaa Maizi (Android) > Kuchapisha Nyaraka Ukitumia Epson iPrint

Kuchapisha Nyaraka Ukitumia Epson iPrint

Kumbuka:

Uendeshaji unaweza kutofautiana kulingana na kifaa.

  1. Unganisha kichapishi chako kwenye kifaa chako maizi ukitumia Wi-Fi Direct.

    Kuunganisha Moja kwa Moja kwenye Kichapishi (Wi-Fi Direct)

  2. Ikiwa Epson iPrint haijasakinishwa, isakinishe.

    Kusakinisha Epson iPrint

  3. Anzisha Epson iPrint.

  4. Donoa Print Documents kwenye skrini ya nyumbani.

  5. Donoa mahali pa waraka unapiotaka kuchapisha.

  6. Teua waraka kisha udonoe Next.

  7. Donoa Print.