> Kutumia Hifadhi > Kutumia Faili kwenye Hifadhi > Kuchapisha Data kutoka kwenye Hifadhi

Kuchapisha Data kutoka kwenye Hifadhi

  1. Teua Hifadhi kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.

  2. Teua folda iliyo na faili unayotaka kuchapisha, kisha teua Fungua.

  3. Teua faili.

  4. Weka idadi ya nakala.

  5. Weka mipangilio ya kuchapisha ikiwa ni muhimu.

    Chaguo za Menyu kwa Mipangilio ya Chapa

  6. Donoa .

    Angalia yafuatayo ili kuchapisha kwa kutumia kikundi kilichohifadhiwa.