Unaweza kuondoa kila seti ya nakala ukitumia utarazaji mshono au ukunjaji.

Weka nakala za kwanza.
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Chagua kichupio cha Mipangilio Msingi.
Teua Mipangilio ya K'si, teua chanzo cha karatasi ambacho ulipakia karatasi, na kisha uteue Sawa.
Chagua Pande 2, na kisha uchague 2>Pande 2 au 1>Pande 2.
Bainisha mipangilio mingine kama vile mwelekeo asili na nafasi ya uunganishaji kama inavyohitajika, na kisha uteue Sawa.
Teua Punguza/Ongeza, bainisha kiwango cha kupanua au kupunguza, na kisha uteue Sawa.
Teua kichupo cha Mahiri, teua Kijitabu > Kijitabu, kisha uwezeshe Kijitabu.
Bainisha nafasi ya uunganishaji na pambiizo la uunganishaji kisha uteue Sawa.
Teua Taraza au Mkunjo Nusu, kisha uwezeshe mipangilio.
Bainisha maelezo kama idadi ya laha za kutaraza mshino au kukunja nusu na mpangilio wa karatasi.
Iwapo kijitabu au karatasi itabaki kwenye trei ya kijitabu, hutaweza kuanzisha uchapishaji wa kuunganisha kitabu. Hakikisha kwamba hakuna chochote kwenye trei ya kijitabu.
Donoa
.