Kuweka Trei yenye Nafasi Kubwa kwenye Kiendeshi cha Kichapishi — Mac OS

  1. Teua Mapendeleo ya Mfumo kwenye menyu ya Apple > Vichapishaji na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi), na kisha uteue kichapishi. Bofya Chaguo na Vifaa > Chaguo (au Kiendeshi).

  2. Unda mipangilio kulingana na aina ya kitengo cha hiari.

  3. Bofya SAWA.